Selcom Logo

Unaweza kutumia namba yako ya simu kufanya malipo iwe namba hiyo inatumika kwenye simu hii au inatumika kwenye simu nyingine.

Unapofanya malipo kwenye simu hii ukatumia namba yako iliyo kwenye simu nyingine, bado programu utatambua malipo yako. Mitandao ya simu inayoweza kutumika ni kama inavyoonekana hapa chini.